Team Mafisi
Team Mafisi

Team Mafisi Lyrics Meanings
by Shackym Olesan

Nov 23, 2021
3
Team Mafisi Music Video

Team Mafisi Lyrics

All dem are inna
This hyena thing
Yoh Cedo play with de thing
Olehigh
Shackym Addisan
Na tuko tu pacho kwani boss iko nini

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Roho ni safi ata kaa me si m-handy
Nilikuomba ukanipa me si bandit
Me ni dose ningoje next door
Ata ukitinga nitapita window
Kaa hii ni jangle niko mawindo
Nina bunduki na mavipindo
Niko za Limbo limbo to the left
Then me nacheki keki na kupiga zip
Me ndio dope fisi kwenye hizi chuom
Sa naota nawe venye ume-chrome
Si twende mummy nikupange
Kama kuna giza si tulale

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Ume-chrome umejenga kitu ni phat pham
Me nadai tu kulamba kitu kitamtam
Mummy unatuma mimi ninahema
Hata nkijituma destiny inahama
Cheki hiyo jini hiyo
Zandize zandiyo
Sa cheki hiyo waist hiyo
Dandia dandia dandia da!
Cheki hiyo jini hiyo
Zandize zandiyo
Sa cheki hiyo waist hiyo
Dandia dandia dandia da!
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Me nawaza ukinipa vile nawezashinda juu
Wewe ni kaa bendera uliamua kubaki juu
Umebeba size yangu nikaa ulishanipima
Ata kaa si class yangu niamini nishakusoma
Uuh mummy songea
Wenye mali nitawabebea
Serikali isiposaidia
Kuna fisi ananyemelea

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi Fisi
Sisi team mafisi
Kazi yao kusorora mafisi

Writer(s): Geoffrey Lilau
Copyright(s): Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Team Mafisi Meanings

Be the first!

Post your thoughts on the meaning of "Team Mafisi".

End of content

That's all we got for #

What Does Team Mafisi Mean?

Attach an image to this thought

Drag image here or click to upload image

Latest Blog Posts
Lyrics Discussions
Hot Songs
Recent Blog Posts